Step-by-step explanation:
kama nikuandika insha ya ajali
unaandika kitu kilichosababisha ajali hiyo na pia mahali ajali ilitokea.
kiini cha ajali yenyewe kama vile dereva alikuwa amelewa .
walionusurika na pia walioaga dunia.
kufahamishwa au kufika kwa polisi.
funzo kwa wengine kutokana na ajali hiyo.
natumahi umesaidika kidogo
asante